Meneja wa Vodacom Tanzania (PLC), mkoani Mtwara, Charles Minungu
(kushoto) akiwa na meneja wa vodashop Mtwara, Frank Daud wakimkabidhi mfano
wa hundi ya shilingi 500,000/-mmoja wa washiriki wa kampeni ya Vodacom
M-Pesa Tuzo Points, Eladius Lutha mkazi wa Naliendele katika hafla
iliyofanyika Mtwara. Kupitia kampeni hii wateja 140 wa Vodacom walizawadiwa
shilingi 25,000/-kila mmoja na baada ya kampeni kumalizika wateja 10 wa
Vodacom nchi nzima watazawadiwa shilingi 500,000/-kila mmoja
-- Cathbert Angelo Kajuna, Founder and Mananging Director Kajunason Blog, P.O Box 6482, Dar es Salaam. Tel: +255 787 999 774 Alt: +255 765 253 445 *www.kajunason.com*
*"Everything is Possible Through Peace & Stability''*
-- Cathbert Angelo Kajuna, Founder and Mananging Director Kajunason Blog, P.O Box 6482, Dar es Salaam. Tel: +255 787 999 774 Alt: +255 765 253 445 *www.kajunason.com
Post A Comment: