NteghenjwaHosseah,
OR-TAMISEMI
WaziriwaNchiOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaMhe.
Selemani S. Jafo(Mb)
amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote Nchini kuhakikisha wanatoa mikopo kwa vikundivyaVijana,
Wanawakena Walemavu kutoka katika asilimia kumi ya mapato ya ndani kama ilivyoelekezw akwenye Sheria.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake asubuhi ya
Leo Mhe. Jafo amesema Halmashauri zitakazoshindwa kutoa mikopo kwa vikundi hivyo watachukuliwa Hatua
kali za kisheria kama ilivyoelekezwa katika Kanuni za utoaji wa mikopo yavikundi.
AmesemakuwalichayauwepowaSheriainayoelekezasualazima
la Utoajiwamikopokwavikundi,utekelezaji wake umekuawakusuasuasanakwabaadhiyaHalmashaurinahadikufikiaMachi
2019 jumlayafedhazilizotolewakwavikundinishilingibilioni 20.7 yashilingibilioni
54.08 zinazopaswakutolewakwamwakawafedha 2018/2019 sawanaasilimia 38.27
yaLengo.
“HivisasahakunakisingiziochochotekatikautekelezajiwasheriahiikwaniSerikaliimeshatoaKanuni,
zinazoongozautoajiwamikopohiyonaKanunihizozimetangazwakatikaGazeti la
SerikaliToleo Na. 141 la Tarehe 5 April, 2019 kwa GN. Na. 286 la mwaka 2019kwahiyoMkurugenziatakayeshindwakutekelezakwaufanisiatachukuliwahatua”
alisemaMhe.Jafo.
Aliongeza kuwa katika kipindi hik ikuna Halmashauri
23 ambazo zimefanya vibaya zaidi kwa kutoa mikopo chini ya asimilimia 20 ya malengo.
Amezitaja Halmashauri hizo kuwa ni Nsimbo,
Nyasa, Busega, Kondoa Dc, Namtumbo, Kasulu Dc, Bariadi Dc, Msalala,
MbuluTcpamojanaNjombe Dc.
HalmashaurizingineniKongwa
Dc, Musoma MC, Sumbawanga Dc, KondoaTc, Uvinza Dc, IlalaMc, Lindi Dc, Mpwapwa
Dc, Bahi Dc, Chamwino Dc, Momba Dc, TemekeMc, Mbulu Dc naLindi Mc.
Wakati huo huo Mhe.
Jafo alitoa maelekezo kwa Halmashauri zote kuwa zinapaswa kutoa fedha kwa vikundi kwa mujibu wa Sheria na mpaka ifikapo Juni
30,2019 Halmashari ziwe zimetoa mikopo siyo chini yaasilimia 83
yafedhazotezamikopokutokaasilimia 10 yafedhazotezamapatoyandani.
Ameongeza kuwa mpaka ifikapo Julai
20, 2019 Halmashauri zote ziwe zimetoa mikopo yote kwa asilimia 100
ya fedha zote za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
“Mkurugenzi yeyote atakayeshidwa kutoa fedha kwa Vikundi kama ilivyoanishwa hapaswi kumlaumu mtu yeyote kwasababu atachukuliwa hatua kama ilivyoelekezwa kwenye Kanuni za utoaji wa mikopo ya vikundi”
amesemaMhe. Jafo.
Ikumbukwekuwa Bunge la
JamhuriyaMuunganowa Tanzania lilifanyamarekebishokatikaSheriayaFedhayaSerikalizaMitaaSura
Na, 290 katikakifungu 37A
ambachokimeelekezanamnayautoajiwamikopokwavikundivyavijana,
wanawakenawalemavukutokakatikaasilimia 10 yamapatoyandani.
Mwisho.
Post A Comment: