Zinedine
Zidane amerejea Real Madrid kama kocha mkuu akichukua nafasi ya
Santiago Solari. Zidane ambaye aliipa Madrid ubingwa wa Ulaya mara tatu
mfululizo amesaini mkataba wa miaka mitatu unaomalizika mwaka 2022.
Zidane aliachana na Madrid Mei 31, 2018.
Post A Comment: