Promosheni ya Tumia EzyPesa kwa watumiaji wa mtandao wa Zantel kutuma na
kupokea fedha ambayo iliazinduliwa mwezi uliopita na itakayodumu kwa
kipindi cha miezi 3 inaendelea kuwanufaisha wateja wa huduma hiyo ambapo
wanaendelea kujishindia zawadi za simu za kisasa za Smartphone kupitia droo
za kila wiki na fedha taslimu kupitia droo za kila mwezi.
Meneja Mawasiliano wa Zantel, Rukia Mtingwa (kulia) akikabidhi simu ya Smartphone kwa mmoja wa washindi kupitia promosheni ya Tumia EzyPesa Ushinde, Aza Joseph mkazi wa Pemba Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Zantel, Sakyi Opuku (kulia) akimkabidhi akimkabidhi zawadi ya simu ya Smartphone mmoja wa washindi wa promosheni ya Tumia Ezypesa ushinde, Juma Omar mkazi wa Unguja.
Mkuu wa Huduma na bidhaa wa Zantel, Aneth Muga, akimkabidhi zawadi ya simu ya Smartphone mmoja wa washindi wa promosheni ya Tumia Ezypesa ushinde, Asha Hamim Juma mkazi wa Unguja.
*
*"Everything is Possible Through Peace & Stability''*
Meneja wa Zantel Kanda ya Pemba, Yakub
Fadhil (kulia) akimkabidhi mshindi wa kwanza wa mwezi wa promosheni ya
Tumia EzyPesa Ushinde, Bw. Abdallah Salum (kushoto) kitita cha shilingi
milioni
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Zantel, Sakyi Opuku (kulia) akimkabidhi
akimkabidhi zawadi ya simu ya Smartphone mmoja wa washindi wa promosheni ya
Tumia Ezypesa ushinde, Juma Omar mkazi wa Unguja, katika hafla iliyofanyika
Darajani mjini Unguja hivi karibuni
Afisa Mauzo wa Zantel kanda ya Pemba, Said Masoud Ali (kulia) akimkabidhi
kitita cha shilingi laki mbili mmoja wa washindi kupitia promosheni ya
Tumia EzyPesa Ushinde, Mohamed Nassor, katika hafla iliyofanyika katika
ofisi za Zantel ChakeChake Pemba.
Meneja Mawasiliano wa Zantel, Rukia Mtingwa (kulia) akikabidhi simu ya Smartphone kwa mmoja wa washindi kupitia promosheni ya Tumia EzyPesa Ushinde, Aza Joseph mkazi wa Pemba Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Zantel, Sakyi Opuku (kulia) akimkabidhi akimkabidhi zawadi ya simu ya Smartphone mmoja wa washindi wa promosheni ya Tumia Ezypesa ushinde, Juma Omar mkazi wa Unguja.
Mkuu wa Huduma na bidhaa wa Zantel, Aneth Muga, akimkabidhi zawadi ya simu ya Smartphone mmoja wa washindi wa promosheni ya Tumia Ezypesa ushinde, Asha Hamim Juma mkazi wa Unguja.
Mkuu wa Huduma na Bidhaa wa Zantel, Aneth
Muga (katikati) akimkabidhi zawadi ya simu ya Smartphone mmoja wa washindi
wa promosheni ya Tumia Ezypesa ushinde, Khadija Ali Makame mkazi
waChukwani.
Mkuu wa Huduma na bidhaa wa Zantel, Aneth Muga (katikati) akiwa na baadhi
ya washindi wa simu za Smartphone kupitia promosheni inayoendelea ya Tumia
ezyPesa Ushinde baada ya kuwakabidhi zawadi zao katika hafla iliyofanyika
Darajani mjini Unguja mwishoni mwa wiki.
--
Cathbert Angelo Kajuna,
Founder and Mananging Director
Kajunason Blog,
P.O Box 6482,
Dar es Salaam.
Tel: +255 787 999 774
Alt: +255 765 253 445
*www.kajunason.com
Post A Comment: