WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASA AWASILI UWANJA WA NDEGE ARUSHA MSUMBA on March 09, 2019 SIASA, Waziri mstaafu wa awamu ya nne Edward Lowasa akiwasili uwanja wa ndege Arusha (Kisongo) tayari kwa Safari ya kuelekea Jimbo la Monduli ambapo anatarajiwa kuzungumza na viongozi Pamoja na wanachama wa chama Cha mapinduzi (CCM) #MsumbaNews.co.tz Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post MSUMBA View Profile
Post A Comment: