Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, wakati
alipowasili kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma Machi
12, 2019. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda Bungeni kuhudhuria kikao cha Uwasilishwaji
wa Mpango na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2019/2020; na Uwasilishwaji wa
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa
Mwaka wa Fedha 2019/2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha Uwasilishwaji wa Mpango na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2019/2020; na Uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma Machi 12, 2019, kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Fedha Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mpango na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2019/2020; na Uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma Machi 12, 2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post A Comment: