Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ofisi za wizara zilizojengwa katika mji mpya wa Serikali jijini Dodoma Machi 27.2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mhandisi Valentino Chaffu,wakati alipo kagua jengo la Ofisi ya Rais (TAMISEMI) katika mji mpya wa Serikali jijini Dodoma Machi 27.2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, katika mji mpya wa Serikali jijini Dodoma Machi 27.2019 kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael, katikati ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Marry Mwanjelwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ofisi mpya za wizara ambazo zimejengwa katika mji mpya wa Serikali jijini Dodoma Machi 27.2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post A Comment: