Meneja wa Benki ya NBC, Kanda ya
Pwani, Daudi Mfalla (kushoto) akimkabidhi pikipiki mmoja wa washindi wa
kampeni ya Shika Ndinga kwa upande wa wanawake, Mariamu Hamisi wakati wa
kampeni hiyo katika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo mkoani Mtwara
jana. Kulia ni Meneja wa Tawi la NBC Mtwara, Job Nshatsi. NBC inadhamini
kampeni hiyo ikiwa na lengo la kusogeza huduma za kibenki karibu na
wateja wao ambapo wateja wanafungua akaunti ya Fasta na kupata kadi ya
ATM ya Visa hapo hapo pamoja na kufahamishwa huduma nyingine za kibeni
za benki hiyo.
Meneja wa Benki ya NBC, Kanda ya
Pwani, Daudi Mfalla (kulia) akimkabidhi pikipiki mmoja wa washindi wa
kampeni ya Shika Ndinga kwa upande wa wanaume, Silvan Gabriel
iliyofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo Mtwara jana.
Katikati ni Meneja wa NBC Tawi la Mtwara, Job Nshatsi. NBC inadhamini
kampeni hiyo ikiwa na lengo la kusogeza huduma za kibenki karibu na
wateja wao.
Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha
Biashara cha Benki ya NBC, Japhet Fungo (kushoto) akiwaeleza waendesha
bodaboda kuhusu huduma mbalimbali za kibenki zinzowafaa zitolewazo na
NBC wakati wa kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika Uwanja wa Shule ya
Msingi Majengo Mkoani Mtwara jana. NBC inadhamini kampeni hiyo ikiwa na
lengo la kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wao ambapo wateja
wanafungua akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo hapo.
Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC ,
Dunstan Lipawaga (kushoto) akizungumza na washiriki wa Shindano la Shika
Ndinga Mkoani Mtwara kuhusu huduma za Kibenki zitolewazo na benki
katika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo Mkoani Mtwara jana. NBC
inadhamini kampeni hiyo ikiwa na lengo la kusogeza huduma za kibenki
karibu na wateja wao ambapo wateja wanafungua akaunti ya Fasta na kupata
kadi ya ATM ya Visa hapo hapo.
Mkazi wa Mtwara, Ismail Sama
(kulia), akiweka alama ya gumba ili kufungua akaunti ya Fasta ya Benki
ya NBC, katika kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika jana katika Uwanja
wa Shule ya Msingi Majengo, mkoani Mtwara juzi. Kushoto ni Ofisa Mauzo
wa NBC, Dunstan Lipawaga. NBC inadhamini kampeni hiyo ikiwa na lengo la
kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wao ambapo wateja wanafungua
akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo hapo.
Ofisa Huduma kwa Wateja wa Benki
ya NBC, Ashura Mchopa (kushoto) akiangalia wakati mmoja wa wakazi wa
Mtwara akiweka alama ya dole gumba ili kufungua akaunti ya Fasta ya
benki ya NBC katika kampeni ya Shika Ndinga mkoani humo jana. NBC
inadhamini kampeni hiyo ikiwa na lengo la kusogeza huduma za kibenki
karibu na wateja wao ambapo wateja wanafungua akaunti ya Fasta na kupata
kadi ya ATM ya Visa hapo hapo.
Mkazi wa Mtwara, Yakini Suwedi
(kulia), akiweka alama ya gumba ili kufungua akaunti ya Fasta ya Benki
ya NBC, katika kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika jana katika Uwanja
wa Shule ya Msingi Majengo, mkoani Mtwara jana. Kushoto ni Ofisa wa
Benki ya NBC, Baraka Mponda. NBC inadhamini kampeni hiyo ikiwa na
lengo la kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wao ambapo wateja
wanafungua akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo hapo.
Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya
Pwani, Daudi Mfalla (kulia), akizungumza na wakazi wa Mkoa wa Mtwara
waliojitokeza katika kampeni ya Shika Ndinga kwenye Uwanja wa Shule ya
Msingi Majengo, mkoani humo jana. NBC inadhamini kampeni hiyo
ikiwa na lengo la kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wao ambapo
wateja wanafungua akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo
hapo na pia kupata huduma nyingine za kibenki zitolewazo na NBC.
Ofisa Huduma kwa Wateja wa Benki
ya NBC, Ashura Mchopa (kulia) akimkabidhi kadi ya ATM aina ya Visa
kwa mkazi wa Mtwara Abduli Ally, baada ya kufungua akaunti ya Fasta
wakati wa kampeni ya Shika Ndinga katika Uwanja wa Shule ya Msingi
Majengo mkoani humo jana. NBC inadhamini kampeni iliyoandaliwa na Kituo
cha Redio cha EFM kwa malengo ya kusogeza huduma za kibenki karibu na
wateja wao ambapo wateja wanafungua akaunti ya Fasta na kupata kadi ya
ATM ya Visa hapo hapo.
Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC,
Dunstan Lipawaga (kushoto) akimkabidhi kadi ya ATM aina ya Visa mkazi
wa Mtwara, Ismail Sama baada ya kufungua akaunti ya Fasta wakati wa
kampeni ya Shika Ndinga katika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo mkoani
humo juzi. NBC inadhamini kampeni hiyo kwa malengo ya kusogeza huduma
za kibenki karibu na wateja wao ambapo wateja wanafungua akaunti ya
Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo hapo.
Baadhi ya washiriki wa kampeni ya
Shika Ndinga wakichuana ili kumpata mshindi katika Uwanja wa Shule ya
Msingi Majengo mkoani Mtwara jana. Kampeni ya Shika Ndinga inayoendeshwa
na Kituo cha Redio cha EFM na kufanyika mikoa mbalimbali nchini
inadhaminiwa na Benki ya NBC.
Washindi wa Shika Ndinga wa Mkoani
Mtwara waliojishindia pikipiki wakipozi kwa picha ya kumbukumbu na
wafanyakazi wa NBC mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao. Kampeni ya
Shika Ndinga inayoendeshwa na Kituo cha Redio cha EFM na kufanyika mikoa
mbalimbali nchini imedhaminiwa na Benki ya NBC.
Post A Comment: