Sehemu
ya wanariadha walioshiriki mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon
zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanajro wakiwa katika picha ya
kumbukumbu.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikimbia mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon 2019 Kilomita 21, zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanajro.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakifurahia Medali walizokabidhiwa baada ya kushiriki na kumaliza mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanajro.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakifurahia Medali walizokabidhiwa baada ya kushiriki na kumaliza mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon Kilomita 21 zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanajro.
Post A Comment: