Mkurugenzi Mwendeshaji wa AICC Ndugu Elishilia Kaaya anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake Mzazi Mzee Daniel Saitore Kaaya DSK kilichotokea Jumatano Usiku tarehe 06/03/ 2019 katika Hospitali ya AICC Arusha.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwake kijijini Nguruma Duluti wilayani Arumeru siku ya jumanne tarehe 12/03/2019.Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki
Post A Comment: