Naibu Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akizungumza jana Mkoani
Morogoro wakati aliposhiriki hafla ya kufunga Kongamano la 11 la Chama
cha Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo Vikuu Tanzania (CHAWAKITA) lililofanyika
katika Chuo Kikuu cha Waisilam Mkoani hapo (MUM).
Makamu Mkuu wa Chuo cha Waislam
Morogoro akizungumza jana Mkoani hapo wakati wa Hafla ya kufunga
Kongamano la 11 la Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo Vikuu Tanzania
(CHAWAKITA) iliyofanywa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Juliana Shonza(hayupo pichani)
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza(wa pili kushoto) akipokea zawadi
ya picha kwa ajili ya kumkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.John Pombe Magufuli kutokana na mchango wake katika matumizi ya
lugha ya Kiswahili kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wanafunzi wa
Kiswahili Vyuo Vikuu Tanzania (CHAWAKITA) Bw.Hamis Hemedi jana Mkoani
Morogoro wakati aliposhiriki hafla ya kufunga Kongamano la 11
lilioandaliwa na chama hicho katika Chuo cha Waisilam Mkoani hapo (MUM).
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza(wa pili kushoto) akipokea zawadi
ya picha kwa ajili ya Wizara yake kutokana na mchango wa uhamasihaji wa
matumizi ya lugha ya Kiswahili kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha
Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo Vikuu Tanzania (CHAWAKITA) Bw.Hamis Hemedi
jana Mkoani Morogoro wakati aliposhiriki hafla ya kufunga Kongamano la
11 lilioandaliwa na chama hicho katika Chuo cha Waisilam Mkoani hapo
(MUM).
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza(wa pili kushoto) akipewa cheti cha
shukran na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro Dkt.Yahya
Abdallah kutokana na mchango wake kwa Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo Vikuu
Tanzania (CHAWAKITA) wakati aliposhiriki hafla ya kufunga Kongamano la
11 lilioandaliwa na chama hicho jana Mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza(katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na Wanafunzi waliofanya vizuri katika uandishi wa hadithi fupi za
Kiswahili wakati aliposhiriki hafla ya kufunga Kongamano la 11 la
Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo Vikuu Tanzania (CHAWAKITA)
lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Waisilam Mkoani hapo (MUM).
Post A Comment: