Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wachezaji wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Taifa Stars ambao
walifika Ikulu mara baada ya kufanikiwa kufuzu kushiriki Fainali za michuano ya
Mataifa ya Africa AFCON baada ya kuifunga Timu ya Taifa ya Uganda The Cranes
magoli 3-0 jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Taifa Stars waliopo upande wa kulia pamoja na viongozi wengine wakionesha ishara ya magoli matatu ambayo timu ya Taifa iliupata siku ya jumapili zidi ya Timu ya Taifa ya Uganda The Craines na kufanikiwa kufuzu kucheza Fainali za michuano ya Mataifa ya Africa AFCON nchini Misri baadae mwaka huu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Juliana
Shonza, Rais wa TFF Walace Karia, Bondia wa Ngumi za kulipwa Hassan Mwakinyo
wapili kutoka kushoto katika picha ya pamoja na
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Taifa Stars ambao walifika
Ikulu mara baada ya kufanikiwa kufuzu kushiriki Fainali za michuano ya Mataifa
ya Africa AFCON baada ya kuifunga Timu ya Taifa ya Uganda The Cranes magoli 3-0
jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Taifa Stars waliopo upande wa kulia pamoja na viongozi wengine wakionesha ishara ya magoli matatu ambayo timu ya Taifa iliupata siku ya jumapili zidi ya Timu ya Taifa ya Uganda The Craines na kufanikiwa kufuzu kucheza Fainali za michuano ya Mataifa ya Africa AFCON nchini Misri baadae mwaka huu
Sehemu ya Wachezaji wa wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Taifa
Stars waliopo upande wa kulia pamoja na viongozi wengine wakiwa katika ukumbi
wa Mkutano Ikulu jijini Dar es Salaam.
Post A Comment: