Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na Kiongozi wa
mabalozi haonekani pichani wakati wa Sherehe za Mwaka mpya 2019 kwa Mabalozi
hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu
jijini Dar es Salaam.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi
wanaowakilisha nchi zao hapa nchini kabla ya chakula cha jioni alichowaandalia
Mabalozi hao katika Sherehe za Mwaka mpya 2019 kwa Mabalozi hao (Diplomatic
Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
Post A Comment: