Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara
baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul
Kagame akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu
jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda
Mheshimiwa Paul Kagame kabla ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na na mgeni wake Rais wa Rwanda
Mheshimiwa Paul Kagame mara baada ya mazungumzo na wanahabari Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Post A Comment: