Home
MATUKIO
Picha: Waziri wa Maji akutana na Makatibu Tawala Dodoma
Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa leo Jijini Dodoma amekutana na
Makatibu Tawala wa Mikoa -Bara pamoja na wataalamu wa Wizara ya Maji na
Ofisi ya Rais TAMISEMI kujadili Wakala ya Majisafi na Usafi wa Mazingira
Vijijini (RUWASA) pamoja na huduma ya maji nchini kwa ujumla.
Back To Top
Post A Comment: