Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Hamisi Kigwangalla mapema leo amefanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini, Mhe.Pekka Hukka ofisini kwake jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili namna ya kuimarisha ushirikiano kwenye masuala ya maliasili hususani kuendeleza miradi ya misitu inayofadhiliwa na Finland nchini.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: