Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akimvisha
nishani ya dhahabu SGT Kenya wa kikosi cha kutuliza ghasia alioipata wakati wa mashindano ya majeshi (BAMMATA) hivi
karibuni katika uwanja wa Uhuru jijini dare s salaam. PICHA NA JESHI LA
POLISI.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiwa katika
picha ya pamoja na wachezaji wa michezo mbalimbali walioshiriki katika mashindano
ya michezo ya majeshi (BAMMATA). IGP alikutana na wanamichezo hao Makao Makuu
ya Polisi kuwapongeza na kuwatia moyo ili wafanye vizuru zaidi katika michezo
ijayo. PICHA NA JESHI LA POLISI.
|
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akikabidhiwa
moja ya makombe yaliyopatikana katika michezo ya majeshi (BAMMATA) katika
mashindano yaliyomalizika hivi karibuni katika uwanja wa taifa jiji Dar es
Salaam. Anayemkabidhi kombe ni Mrakibu SP Mtafi, Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha
Kutuliza. PICHA NA JESHI LA POLISI.
Post A Comment: