Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa washauri wa biashara katika malengo endelevu kwa sekta binafsi wakiwa wanajadili utekelezaji wa maazimiao 17 SDGs Jijini Arusha katika ukumbi wa Naura Spring leo. Picha zote na Vero Ignatus
Mijadala katika vikundi ikiendelea katika Mkutano wa washauri w biashara katika Malengo Endelevu leo Jijini Arusha
Mratibu wa Global Compact Network Badru Juma akionyesha azimio namba 13 ambalo linahisiana na Mazingira ambapo amesema bado ibahitajika nguvu ya ziada kuhakikisha kila mtu anatunza na kulinda mazingira
Mzee Evarist Mallya kutoka mkoani Kilimanjaro anayesimamamia mradi wa maji kwa watu maskini (WPP) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)
Na. Vero Ignatus, Arusha
Mtandao wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania unaohusu Mpango wa Maendeleo Endelevu SDGs umefanikiwa kuzileta pamoja Asasi za kiraia na Sekta binafsi ili kutathimini utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo Endelevu Tanzania
Akizungumza katika mkutano huo Mratibu UN Global Compact Badru Juma amesema kuwa Mwaka huu Mwezi July Tanzania inawasilisha ripoti yao ya Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo Endelevu kwenye mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa
Pia amesema jitahada ambazo wamekuwa wakizifanya ili kujenga uelewa wa kutosha kuhusu Mpango wa Maendeleo Endelevu kwa mwananchi ni kuzikutanisha pamoja sekta Binafsi na Serikali.
Amesema kuwa Majumuisho ya Pamoja ya utoaji wa Taarifa za Utekelezaji wa Mpango wa Malengo Endelevu SDGs utafanyika Mkoani Dar es salaam mwezi Julai
Mipango ya Maendele Endelevu SDGs yapo kumi na Saba Tanzania inasimamia lengo la kwanza na la Kumi na Tatu ambayo ni kutokomeza umasikini na Mabadiliko ya Hali ya Hewa.
Afisa Mipango wa Forum Concerning Change FCC kutoka Dar es salaam Ephrasia Shayo amesema katika kuhakikisha Mpango wa Maendeleo Endelevu SDGs unatakelezwa katika Jamii wamekuwa wakitoa elimu kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hali ya Hewa.
Hata hivyo Mkurugezi wa Taasisi isiyo kuwa ya kiserikali water for the Pour people Mshiriki katika Mkutano huo amesema wamekuwa wakiwasiliana na wananchi ambao hawana uwezo wa kuunganisha Maji kwaajili ya kutafuta wafadhili kwaajili ya kusaidia kuunganisha maji.
Amesema hadi sasa ameshawasajili watu 100 kwaajili ya mradi huo wa maji, pia ameiomba Serikali kupunguza bei ya kuunganisha maji kwani watu wenye kipato cha chini hawana uwezo wa kulipa kiasi kikubwa cha fedha kwaajili ya maji.
Mwisho

Pichani ni changamoto 17 duniani ambazo leo katika mkutano wa wadau wa biashara katika malengo endelevu kwa sekta binafsi ambapo leo Asasi za kiraia na Taasisi binafsi leo wamekutana kukusanya ripoti Na. Vero Ignatus, Arusha
Mtandao wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania unaohusu Mpango wa Maendeleo Endelevu SDGs umefanikiwa kuzileta pamoja Asasi za kiraia na Sekta binafsi ili kutathimini utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo Endelevu Tanzania
Akizungumza katika mkutano huo Mratibu UN Global Compact Badru Juma amesema kuwa Mwaka huu Mwezi July Tanzania inawasilisha ripoti yao ya Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo Endelevu kwenye mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa
Pia amesema jitahada ambazo wamekuwa wakizifanya ili kujenga uelewa wa kutosha kuhusu Mpango wa Maendeleo Endelevu kwa mwananchi ni kuzikutanisha pamoja sekta Binafsi na Serikali.
Amesema kuwa Majumuisho ya Pamoja ya utoaji wa Taarifa za Utekelezaji wa Mpango wa Malengo Endelevu SDGs utafanyika Mkoani Dar es salaam mwezi Julai
Mipango ya Maendele Endelevu SDGs yapo kumi na Saba Tanzania inasimamia lengo la kwanza na la Kumi na Tatu ambayo ni kutokomeza umasikini na Mabadiliko ya Hali ya Hewa.
Afisa Mipango wa Forum Concerning Change FCC kutoka Dar es salaam Ephrasia Shayo amesema katika kuhakikisha Mpango wa Maendeleo Endelevu SDGs unatakelezwa katika Jamii wamekuwa wakitoa elimu kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hali ya Hewa.
Hata hivyo Mkurugezi wa Taasisi isiyo kuwa ya kiserikali water for the Pour people Mshiriki katika Mkutano huo amesema wamekuwa wakiwasiliana na wananchi ambao hawana uwezo wa kuunganisha Maji kwaajili ya kutafuta wafadhili kwaajili ya kusaidia kuunganisha maji.
Amesema hadi sasa ameshawasajili watu 100 kwaajili ya mradi huo wa maji, pia ameiomba Serikali kupunguza bei ya kuunganisha maji kwani watu wenye kipato cha chini hawana uwezo wa kulipa kiasi kikubwa cha fedha kwaajili ya maji.
Mwisho
Post A Comment: