Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na wachezaji na viongozi wa Timu ya Taifa ya
Soka - Taifa Stars jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019. Wa pili kulia
ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangala na kulia ni Rais wa TFF, Wallas Karia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Soka, Mbwana Samata baada ya kuzungumza na wachezaji na viongozi wa timu hiyo kwenye hoteli ya Kunduchi jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019. Kushoto ni Rais wa TFF, Wallas Karia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Soka – Taifa Stars baada ya kuzungumza nao jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019. Wa tano kulia (mstari wa mbele), ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangala na wa sita ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. Wa nne kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post A Comment: