Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mbunge wa Viti Maalum, Vicky
Kamata kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza wakati aliposhiriki katika
mapokezi ya mwili wa Paulina Kasama Selemani ambaye ni mama mzazi wa
Mbunge huyo, uliosafirishwa kwa Ndege kutoka Dar es salaam kwenda Geita
kwa mazishi, Machi 19, 2019. Watatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani,
Mhandisi Evarest Ndikilo ambaye ni kaka wa marehemu na kulia ni Mume wa
Mbunge huyo, Dkt. Servicius Likwelile. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post A Comment: