Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana
na Spika wa Bunge wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni
jijini Dodoma, Machi 31, 2019 kushiriki katika Kikao cha Mashauriano
kati ya Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti kuhusu mambo muhimu
yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili utekelezaji
wa Bajeti za Wizara kilichofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni
jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, William Lukuvi, kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.
Philip Mpango na katikati ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Tekinolojia, William Tate Ole Nasha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Machi 31, 2019 alishiriki katika Kikao cha Mashauriano kati ya Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti kuhusu mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara kilichofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma. Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza katika Kikao hicho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post A Comment: