Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Kampuni ya Cassava Starch
Of Tanzania Corporation Limited (CSTC), Bw. Gerald Billet (kulia)
wakifungua kiwanda cha kuchakata muhogo cha CSTC kilichopo katika
kijiji cha Mbalala kwenye Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Machi 22, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe kuwasha mashine ya kuchakata muhogo wakati alipozindua kiwanda cha kuchakata muhogo cha Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited (CSTC) kilichopo katika kijiji cha Mbalala kwenye jimbo la Mtama mkoani Lindi, Machi 22, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba na wa pili kulia ni Balozi wa Ufaransa nchini, Frederick Clavier. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya uchakataji muhogo wakati
alipofungua kiwanda cha kuchakata mhogo cha Cassava Starch of Tanzania
Corporation Limited (CSTC) kilichopo katika kijiji cha Mbalala kwenye
jimbo la Mtama mkoani Lindi, Machi 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua kiwanda cha kuchakata muhogo cha Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited (CSTC) kilichopo katika kijiji cha mbalala kwenye jimbo la Mtama mkoani Lindi Machi 22, 2019. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Hamida Abdallah, Naibu Waziri wa kilimo, Omari Mgumba, Kaimu Mkuu wa mkoa wa Lindi na Mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga, Mwenyekiti wa CSTC, Gerald Billet, Balozi wa ufaransa nchini, Frederick Clavier, Mkurugenzi Mtendaji wa CSTC, Christophe Gallean na kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mfuko wenye unga wa muhogo wakati
alipofungua kiwanda cha kuchakata muhogo cha Cassava Starch of Tanzania
Corporation Limited (CSTC) kwenye kijiji cha Mbalala katika jimbo la
Mtama mkoani Lindi, Machi 22, 2019. Wa pili kulia ni Waziri wa Viwanda
na Biashara, Joseph Kakunda na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Hamida
Abdallah. Kulia kwa Waziri ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Mkuu wa
wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga na kushoto ni Shift Leader wa CSTC,
Samwel Ponera. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha kuchakata muhogo cha Cassava Starch of Tanzania Corporation Limkited (CSTC) baada ya kukifungua kwenye kijiji cha Mbalala katika jimbo la Mtama mkoani Lindi, Machi 22, 2019. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashra, Joseph Kakunda na wa pili kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye. Wa tatu kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kufungua kiwanda cha kuchakata muhogo cha Cassava Starch of Tanzani Corporation Limited (CSTC) kilichopo katika kijiji cha Mbalala kwenye jimbo la mtama mkoani Lindi, Machi 22, 2019. Wa tatu kulia ni Balozi wa Ufaransa nchini, Frederick Clavier, wa pili kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CSTS, Christophe Gallean. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe kuwasha mashine ya kuchakata muhogo wakati alipozindua kiwanda cha kuchakata muhogo cha Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited (CSTC) kilichopo katika kijiji cha Mbalala kwenye jimbo la Mtama mkoani Lindi, Machi 22, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba na wa pili kulia ni Balozi wa Ufaransa nchini, Frederick Clavier. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua kiwanda cha kuchakata muhogo cha Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited (CSTC) kilichopo katika kijiji cha mbalala kwenye jimbo la Mtama mkoani Lindi Machi 22, 2019. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Hamida Abdallah, Naibu Waziri wa kilimo, Omari Mgumba, Kaimu Mkuu wa mkoa wa Lindi na Mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga, Mwenyekiti wa CSTC, Gerald Billet, Balozi wa ufaransa nchini, Frederick Clavier, Mkurugenzi Mtendaji wa CSTC, Christophe Gallean na kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha kuchakata muhogo cha Cassava Starch of Tanzania Corporation Limkited (CSTC) baada ya kukifungua kwenye kijiji cha Mbalala katika jimbo la Mtama mkoani Lindi, Machi 22, 2019. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashra, Joseph Kakunda na wa pili kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye. Wa tatu kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kufungua kiwanda cha kuchakata muhogo cha Cassava Starch of Tanzani Corporation Limited (CSTC) kilichopo katika kijiji cha Mbalala kwenye jimbo la mtama mkoani Lindi, Machi 22, 2019. Wa tatu kulia ni Balozi wa Ufaransa nchini, Frederick Clavier, wa pili kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CSTS, Christophe Gallean. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Post A Comment: