|
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kufungua Benki ya Mendeleo
ya Kilimo Tanzania (TADB) Kanda ya Ziwa kwenye Mtaa wa Posta jijini
Mwanza, Machi 19, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent
Bashungwa kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, wa pili
kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya TADB, Rosebud Kwiruja na wapili kulia
ni Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Japhet Justine (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu) |
|
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa
Mwanza, Anthony Diallo baada ya kufungua Benki ya Maendeleo ya Kilimo
Kanda ya Ziwa kwenye Mtaa wa Posta jijini Mwanza, Machi 19, 2019. Wa
pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TADB, Rosebud Kwiruja na kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Japhet Justine. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu) |
|
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kufungua Benki ya Maendeleo
ya Kilimo (TADB) Kanda ya Ziwa kwenye Mtaa wa Posta jijini Mwanza,
Machi 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania(TADB) Kanda ya Ziwa
lililofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Mtaa wa Posta
jijini Mwanza, Machi 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post A Comment: