Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Balozi
wa Finland nchini, Pekka Hukka ofisini kwake Jijini Dodoma leo ambapo
wamekubaliana kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizo mbili kwa
kuendeleza miradi iliyodhaminiwa na Serikali ya Finland hususani ya
misitu ambapo Balozi huyo amemuelza Waziri Kigwangalla kuwa msingi
mkubwa wa maendeleo ya Finland ni uwekezaji mkubwa uliofanywa kwenye
misitu. (Picha na Wizara ya Maliasili na Utalii)

Post A Comment: