Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akiweka sahihi kwenye kitabu
cha waombolezaji baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Naibu Kamishna
wa Jeshi la Polisi DCP Renatus Matanga Mbushi, aliyefariki dunia tarehe
03/03 mwaka huu huko Mkoani Mbeya alipokuwa kwenye ziara ya kikazi na
mwili wake kusafirishwa kuja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya taratibu
za mazishi.(Picha na Jeshi la Polisi).
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro, akiteta jambo na Mkuu wa
Jeshi la Polisi Mstaafu IGP Said Mwema wakati walipokutana nyumbani kwa
Marehemu Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi DCP Renatus Matanga Mbushi,
katika kambi ya Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kinondoni jijini Dar es
salaam, msiba huo ulitokea tarehe 03/03 mwaka huu huko Mkoani Mbeya
alipokuwa kwenye ziara ya kikazi na mwili wake kusafirishwa kuja jijini
Dar es Salaam kwa ajili ya taratibu za mazishi.(Picha na Jeshi la
Polisi).
Maofisa
wa Jeshi la Polisi wakiingiza mwili wa Marehemu Naibu Kamishna wa Jeshi
la Polisi DCP Renatus Matanga Mbushi katika Kanisa la Parokia ya Mt.
Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es salaam kwa ajili ya misa ya
kuuaga, msiba huo ulitokea tarehe 03/03 mwaka huu huko Mkoani Mbeya
alipokuwa kwenye ziara ya kikazi na mwili wake kusafirishwa kuja jijini
Dar es Salaam kwa ajili ya taratibu za mazishi.(Picha na Jeshi la
Polisi).
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akiaga mwili wa marehemu
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi DCP Renatus Matanga Mbushi, katika
Kanisa la Parokia ya Mt. Petro Oysterbay jijini Dar es salaam msiba huo
ulitokea tarehe 03/03 mwaka huu huko Mkoani Mbeya alipokuwa kwenye ziara
ya kikazi na mwili wake kusafirishwa kuja jijini Dar es Salaam kwa
ajili ya taratibu za mazishi.(Picha na Jeshi la Polisi).
Post A Comment: