Kikosi cha Simba SC asubuhi ya leo kitaondoka jijini Dar es Salaam kwenda Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mbao FC ambao utapigwa siku ya Jumapili kwenye uwanja wa Jamhuri.
Ukiachana na mchezo huo, pia wana kibarua cha kucheza na TP Mazembe Aprili 5 kwenye hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mshambiliaji wa Simba SC, Kagere kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa mpaka sasa ametupia mabao sita huku kwenye ligi akiwa amecheka na nyavu mara 13
Post A Comment: