Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mwandishi wa habari wa kujitegea Ndugu Basil Elias kwa kile kilichoelezwa ni agizo kutoka kwa viongozi wa juu
Mwandishi Basil alienda kurekodi habari ya mjane Anna Nathaniel Mtei aliyekuwa analalamikia kuwepo kwa majitaka yanayoririshwa kwenye nyumba yake ndipo alipokamatwa na kuswekwa rumande hadi hivi sasa
Post A Comment: