Kituo cha kuzalisha na kusambaza umeme cha Mlandizi mkoani Pwani kinaungua kwa moto.
Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na tayari kikosi cha zimamoto na uokozi kimeshafika kutoa msaada.
Endelea kufuatilia mitandao yetu ya Facebook Twitter na Instagram tutakuwekea hapa kila kinachoendelea
Back To Top
Post A Comment: