Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Chadema, leo Jumatano October 17 kimeonyesha magari yake aina ya Ford Ranger ambayo yatatumika katika shughuli za kukiimarisha chama hicho na kukirejesha kwa wananchi.
Msemaji wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania, Tumaini Makene ameseama magari hayo yatatumika katika chaguzi na utekelezaji programu ya Chadema msingi..
Msemaji wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania, Tumaini Makene ameseama magari hayo yatatumika katika chaguzi na utekelezaji programu ya Chadema msingi..
Post A Comment: