Ngome ya Zitto yazidi kutikiswa Diwani mwingine wa ACT Wazalendo Atimkia Ccm msumbanews on October 19, 2018 SIASA, Diwani wa Kata ya Sale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Jeremiah Sagoyani amejiuzulu nafasi zake zote ndani ya ACT na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM kwa kile alichosema kuwa anaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: