Baadhi ya Ndugu,Jamaa na marafiki wakiwa wamejumuika nyumbani leo mchana kwenye mazishi ya aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Ndugu,Jamaa na marafiki wakijadiliana jambo nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar Es Salaam.
Sehemu ya waombolezaji wakiwamo ndugu,jamaa na marafiki wakijadiliana jambo nyumbani kwa marehemu aliyekuwa mtangazaji nguli wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar Es Salaam.
Miongoni mwa ndugu, jamaa na marafiki wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo Tandika Maghorofani ambaye amefarikia dunia jana.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakiwa katika picha ya pamoja nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakijadiliana jambo katika msibani wa marehemu aliyekuwa Mtangazaji nguli wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni aliyekuwa Meneja wa Uwanja wa Taifa, mtangazaji Mkongwe Salim Mbonde na mwanasoka guli wa zamani Abdallah King Kibaden
.
Sehemu ya waombolezaji wakiwamo ndugu, jamaa na marafiki wakijadiliana jambo nyumbani kwa marehemu aliyekuwa mtangazaji nguli wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo, nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar es Salaam, wakiwemo wacheza kandanda nyota wa zamani akiwemo (kutoka kulia) Suleiman Mkati, Abdallah Kaburu, Mohamed Hussein Mmachinga Kaingilila Maufi pamoja na mafundi mitambo wa toka enzi za RTD Mzee Ali Saidi Tunku na Juma Kengele.
Mafundi mitambo wa RTD kutoka kulia Ali Saidi Tunku, James Mhillu, na Juma Kengele nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo Tandika Maghorofani Dar es Salaam.
Matanga nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo Tandika Maghorofani Dar es Salaam.
Magiwji wa utangazaji nchini toka kulia Abdallah Idrissa Majura, Dunstan Tido Muhando. Ahmed Kipozi na Charles Hilary wakiwa nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo Tandika Maghorofani Dar es Salaam.
Mwenye kofia ndiye Salim Mbonde, mtangazaji mstaafu wa RTD na TBC
Sehemu ya watangazaji wakongwe wakiwa nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (RTD), Ahmed Jongo Tandika Maghorofani Dar es Salaam.
Waombolezaji msibani
Fundi mitambu Ali Saidi Tunku akiwaeleza jambo Charles Hilary na Peter Makorongo
Wachezaji nyota wa zamani kutoka kulia Selemani Mkati, Abdallah Kaburu na Kaingilila Maufi wakiwa nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo Tandika Maghorofani Dar es Salaam.

Magiwji wa utangazaji nchini toka kulia Abdallah Idrissa Majura, Dunstan Tido Mhando, Salim Mbonde Ahmed Kipozi na Charles Hilary wakiwa nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo Tandika Maghorofani Dar es Salaam.
Magiwji wa utangazaji nchini toka kulia Abdallah Idrissa Majura, Dunstan Tido Muhando. Ahmed Kipozi na Charles Hilary wakiwa nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo Tandika Maghorofani Dar es Salaam.
Waombolezaji wakichangia ubani nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo Tandika Maghorofani Dar es Salaam.
Mwenye kofia ndiye Salim Mbonde, mtangazaji mstaafu wa RTD na TBC
Sehemu ya watangazaji wakongwe wakiwa nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (RTD), Ahmed Jongo Tandika Maghorofani Dar es Salaam.
Waombolezaji msibani
Fundi mitambu Ali Saidi Tunku akiwaeleza jambo Charles Hilary na Peter Makorongo
Magiwji wa utangazaji nchini toka kulia Abdallah Idrissa Majura, Dunstan Tido Muhando. Ahmed Kipozi na Charles Hilary wakiwa nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo Tandika Maghorofani Dar es Salaam.
Wachezaji nyota wa zamani kutoka kulia Selemani Mkati, Abdallah Kaburu na Kaingilila Maufi wakiwa nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo Tandika Maghorofani Dar es Salaam.
Mazishi ya Mtangazaji wa RTD Ahmed Jongo yamefanyika leo makaburi ya Mbagala Charambe jijini Dar es Salaam
Post A Comment: