Mbunge wa Kondoa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (kulia), akifurahi na Mkuu wa Masoko wa Benki ya Biashara ya DCB, Rahma Ngassa (wa pili kushoto), Meneja wa DCB Tawi la Dodoma, Joseph Njile (kushoto) pamoja na Ofisa Mikopo wa DCB Dodoma, Nuru Ashraf, wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Jimbo la Kondoa ambapo benki hiyo ikiwa kama mdau wa maendeleo ilienda kuhamasisha wananchi wa Kondoa kujiunga na huduma yao mpya ya DCB Digital ili kupata huduma za kibenki kwa kupitia simu ya mkononi katika hafla iliyofanyika katika Kata ya Pahi, wilayani Kondoa, Dodoma jana. Ndani ya DCB Digital mteja anaweza kujiunga na akaunti ya muda maalum (Digital FDR) , Akaunti ya malengo (Kibubu Digital Account), huduma ya Malipo ya Nusu Mshahara (Digital Salary advance) na huduma ya ATM bila kutumia kadi ya benki. Wa pili kulia ni mjumbe wa mkutano huo, Shamte Kapesa.
Mbunge wa Kondoa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (kulia), akisalimiana na Mkuu wa Msoko wa Benki ya Biashara ya DCB, Rahma Ngassa, huku Meneja Tawi wa DCB Dodoma, Joseph Njile (kushoto) na Nuru Ashraf, Ofisa Mikopo wa DCB Dodoma wakiangalia, wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Jimbo la Kondoa ambapo benki hiyo kama mdau wa maendeleo ilienda kuhamasisha wananchi wa Kondoa kujiunga na huduma yao mpya ya DCB Digital ili kupata huduma za kibenki kwa kupitia simu ya mkononi katika hafla iliyofanyika katika Kata ya Pahi, wilayani Kondoa, Dodoma. Ndani ya DCB Digital mteja anaweza kujiunga na akaunti ya muda maalum (Digital FDR) , Akaunti ya malengo (Kibubu Digital Account), huduma ya Malipo ya Nusu Mshahara (Digital Salary advance) na huduma ya ATM bila kutumia kadi ya benki.
Mbunge wa Kondoa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (kulia), akisalimiana na Ofisa Mikopo wa Benki ya Biashara ya DCB Tawi la Dodoma, Nuru Ashraf huku Mkuu wa Masoko wa DCB, Rahma Ngassa (wa pili kushoto) na Meneja Tawi wa DCB Dodoma, Joseph Njile (kushoto) wakiangalia, wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Jimbo la Kondoa ambapo benki hiyo kama mdau wa maendeleo ilienda kuhamasisha wananchi wa Kondoa kujiunga na huduma yao mpya ya DCB Digital ili kupata huduma za kibenki kwa kupitia simu ya mkononi katika hafla iliyofanyika katika Kata ya Pahi, wilayani Kondoa, Dodoma . Ndani ya DCB Digital mteja anaweza kujiunga na akaunti ya muda maalum (Digital FDR) , Akaunti ya malengo (Kibubu Digital Account), huduma ya Malipo ya Nusu Mshahara (Digital Salary advance) na huduma ya ATM bila kutumia kadi ya benki. Wa pili kulia ni mjumbe wa mkutano huo, Shamte Kapesa.
Mfanyabiashara ndogondogo mkazi wa Kata ya Pahi wilayani Kondoa, Subira Mohamed Ngwata (kulia), akifungua akaunti ya DCB Digital kwa kutumia simu yake ya mkononi huku maofisa wa benki hiyo, Vicent Speratus (kushoto) na Chuki Jarufu wakimpa maelekezo wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Jimbo la Kondoa ambapo benki hiyo kama mdau wa maendeleo ilienda kuhamasisha wananchi kujiunga na huduma yao mpya ya DCB Digital ili kupata huduma za kibenki kwa kupitia simu za mkononi katika hafla iliyofanyika Pahi, Kondoa, mkoani Dodoma. Ndani ya DCB Digital mteja anaweza kujiunga na akaunti ya muda maalum (Digital FDR) , Akaunti ya malengo (Kibubu Digital Account), huduma ya Malipo ya Nusu Mshahara (Digital Salary advance) na huduma ya ATM bila kutumia kadi ya benki.
Meneja wa Benki ya Biashara ya DCB Tawi la Dodoma, Joseph Njile (wa pili kulia) akiwaelekeza wakazi wa Kata ya Pahi jinsi ya kujiunga na DCB Digital wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Jimbo la Kondoa ambapo benki hiyo kama mdau wa maendeleo ilienda kuhamasisha wananchi kujiunga na huduma yao mpya ya DCB Digital ili kupata huduma za kibenki kwa kupitia simu za mkononi katika hafla iliyofanyika Pahi, Kondoa, mkoani Dodoma. Ndani ya DCB Digital mteja anaweza kujiunga na akaunti ya muda maalum (Digital FDR) , Akaunti ya malengo (Kibubu Digital Account), huduma ya Malipo ya Nusu Mshahara (Digital Salary advance) na huduma ya ATM bila kutumia kadi ya benki.
Mbunge wa Kondoa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (kulia), akisalimiana na Meneja wa Benki ya Biashara ya DCB Tawi la Dodoma, Joseph Njile huku Mkuu wa Masoko wa DCB, Rahma Ngassa (wa pili kushoto) na Ofisa Mikopo wa DCB Dodoma, Nuru Ashara wakiangalia, wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Jimbo la Kondoa ambapo benki hiyo kama mdau wa maendeleo ilienda kuhamasisha wananchi wa Kondoa kujiunga na huduma yao mpya ya DCB Digital ili kupata huduma za kibenki kwa kupitia simu ya mkononi katika hafla iliyofanyika wilayani katika Kata ya Pahi, Kondoa mkoani Dodoma jana. Ndani ya DCB Digital mteja anaweza kujiunga na akaunti ya muda maalum (Digital FDR) , Akaunti ya malengo (Kibubu Digital Account), huduma ya Malipo ya Nusu Mshahara (Digital Salary advance) na huduma ya ATM bila kutumia kadi ya benki. Wa pili kulia ni mjumbe wa mkutano huo, Shamte Kapesa.
Mchuuzi wa mbogamboga na mkazi wa Kata ya Pahi wilayani Kondoa, Hadija Iddi (kulia) akipewa maelezo na Ofisa Mahusiano wa DCB Dodoma, Chuki Jarufu jinsi ya kujiunga na huduma ya DCB Digital wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Jimbo la Kondoa ambapo benki hiyo kama mdau wa maendeleo ilienda kuhamasisha wananchi kujiunga na huduma yao mpya ya DCB Digital ili kupata huduma za kibenki kwa kupitia simu za mkononi katika hafla iliyofanyika wilayani humo mkoani Dodoma. Ndani ya DCB Digital mteja anaweza kujiunga na akaunti ya muda maalum (Digital FDR) , Akaunti ya malengo (Kibubu Digital Account), huduma ya Malipo ya Nusu Mshahara (Digital Salary advance) na huduma ya ATM bila kutumia kadi ya benki.
Post A Comment: