MENGI%2BWASILI
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akifurahi jambo na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Bw. Daniel Chongolo (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya Heameda Dr. Hery  Mwandolela (katikati) mara baada ya kuwasili kwenye hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki HEAMEDA ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
MENGI%2BWAZAZI
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akitambulishwa kwa wazazi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya Heameda Dr. Hery  Mwandolela (katikati) mara baada ya kuwasili kwenye hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki ya HEAMEDA ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
MENGI%2BFURAHI
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akifurahi jambo na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Bw. Daniel Chongolo (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya Heameda Dr. Hery  Mwandolela (kushoto) wakielekea kwenye lango kuu la jengo la kliniki ya HEAMEDA mara baada ya kuwasili kwenye hafla ya uzinduzi wa jengo hilo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
RECEPTION%2B1
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akisalimiana muhudumu wa mapokezi wa  kliniki ya HEAMEDA, Bi. Rukia Ally akiwa ameambatana na mwenyeji wake Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki hiyo Dr. Hery Mwandolela wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
RECEPTION%2B2
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi  akibadilishana mawazo na mhudumu wa mapokezi kliniki ya HEAMEDA, Bi. Inocenter Casmir (kulia) alipowasilia kwenye hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya Heameda Dr. Hery Mwandolela pamoja na Mkurugenzi Msaidizi wa Kliniki hiyo Bi. Mwandolela.
CONSOLATA
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akisalimiana na Dr. Consolata Mbatia wa kliniki ya HEAMEDA alipokuwa akitembelea maeneo mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya Heameda Dr. Hery Mwandolela.
MENGI%2BLAB%2B1
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya HEAMEDA, Dr. Hery Mwandolela ndani maabara ya kliniki hiyo kuhusu mashine za kisasa wanazotumia kufanya vipimo mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
MENGI%2BLAB%2B2
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya HEAMEDA, Dr. Hery Mwandolela (kushoto) pamoja na Mwakilishi wa Mganga MKUU wa wilaya ya Kinondoni Dr Christowell Mande (kulia) wakifurahi jambo ndani ya maabara ya kliniki hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
MENGI%2BLAB%2B3
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akimshauri jambo Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya HEAMEDA, Dr. Hery Mwandolela wakati akikagua idara mbalimbali za kliniki hiyo kabla ya kuzindua jengo la kliniki hiyo katika hafla iliyoambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mtaalamu wa Mabaara wa Kliniki ya HEAMEDA, Bi. Asha Suleiman.
MENGI%2BSALIMIA%2BMC
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akisalimiana na Mshehereshaji wa uzinduzi wa jengo la Kliniki ya HEAMEDA, Bw. Harris Kapiga (kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya HEAMEDA, Dr. Hery Mwandolela pamoja na Mkurugenzi Msaidizi wa Kliniki hiyo Bi. Mwandolela.
ZACHARIA
 Afisa Utawala wa Kliniki ya HEAMEDA, Bw. Zacharia Sanga akitoa neno la ukaribisho na kutambulisha wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
MENGI%2BONGEA%2B1

MENGI%2BONGEA%2B2
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akizungumza na wafanyakazi pamoja na wageni waalikwa (hawapo pichani) kwenye hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
DC%2BKINONDONI
 Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Bw. Daniel Chongolo akitoa salamu kwa niaba ya serikali ambapo aliahidi kushughulikia ukarabati wa barabara inayoelekea kwenye kliniki ya HEAMEDA iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo.
CHRISTOWELL
 Mwakilishi wa Mganga MKUU wa wilaya ya Kinondoni Dr Christowell Mande akitoa salamu za idara ya afya wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki ya HEAMEDA ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
HERY
 Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya HEAMEDA, Dr. Hery Mwandolela akitoa taarifa ya HEAMEDA kwa mgeni rasmi na wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
REBECCA
 Afisa Rasilimali watu wa Kliniki ya HEAMEDA, Bi. Rebecca Masudi akitangaza majina ya wadau walioshirikiana nao katika maeneo mbalimbali katika hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
ESSAU%2BCHETI
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akikabidhi cheti kwa mfanyakazi wa muda mrefu ambaye pia amekuwa akishindi katika kipengele cha mfanyakazi bora kwa zaidi ya mara kumi wa Kliniki ya HEAMEDA, Bw. Essau Waimura huku Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Bw. Daniel Chongolo na viongozi wa meza kuu wakishuhudia tukio hilo wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
VYETI%2B1

VYETI%2B2
 mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akikabidhi vyeti vya kutambua mchango kwa wadau walioshiriki mafanikio ya Kliniki ya HEAMEDA wakiwemo CLOUDS Media Group wakiwakilishwa na Dr. Isaac Maro (pichani ya chini) wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
MENGI%2BTUZO
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akipokea tuzo ya kukubali kuwa mgeni rasmi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya HEAMEDA, Dr. Hery Mwandolela wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni viongozi wa dini pamoja na wageni wa meza kuu.
ZINDUA%2BJENGO%2B1

ZINDUA%2BJENGO%2B2
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akizindua rasmi jengo jipya la Kliniki HEAMEDA uzinduzi ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya HEAMEDA, Dr. Hery Mwandolela pamoja na Mwakilishi wa Mganga MKUU wa wilaya ya Kinondoni Dr Christowell Mande (wa kwanza kushoto) pamoja na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Bw. Daniel Chongolo (katikati kushoto).
ZINDUA%2BJENGO%2B3
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya HEAMEDA, Dr. Hery Mwandolela mara baada ya kuzindua rasmi jengo la kliniki hiyo kwenye hafla iliyoambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
CAKE
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi (wa pili kushoto), Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Bw. Daniel Chongolo (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya HEAMEDA, Dr. Hery Mwandolela (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi Msaidizi wa Kliniki hiyo, Bi. Mwandolela (kulia) kwa pamoja wakikata keki ya hafla ya maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo ulioambatana na uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
GROUP%2BPHOTO%2BHIGH%2BTABLE
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki ya HEAMEDA ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
GROUP%2BPHOTO%2BADMIN
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi katika picha ya pamoja na viongozi wa utawala wa Kliniki ya HEAMEDA wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
GROUP%2BPHOTO%2BFAMILY

GROUP%2BPHOTO%2BSTAFF
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kliniki ya HEAMEDA wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
WAALIKWA%2B1
 Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi katika picha ya pamoja na familia ya Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya HEAMEDA, Dr. Hery Mwandolela  wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki hiyo ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
WAALIKWA%2B2
 sehemu ya wageni waalikwa walioshiriki hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki ya HEAMEDA ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam.
MENGI%2BAGA
Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr. Reginald Mengi akiagana na baadhi ya wageni waalikwa walioshiriki hafla ya uzinduzi wa jengo la kliniki ya HEAMEDA ulioambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo iliyopo eneo la Bunju B jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya HEAMEDA, Dr. Hery Mwandolela (wa pili kushoto).

Na Mwandishi wetu

Vijana wakijiamini wanaweza kuwa chachu ya maendeleo ya nchi hasa iwapo watakuwa wabunifu wa miradi ya utoaji huduma muhimu za kijamii.
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr Reginald Mengi ameyasema hayo jijini Dar es salaam wakati akizindua jengo jipya la Kliniki ya HEAMEDA, eneo la Bunju B, inayotibu magonjwa ya moyo, baada ya kutembezwa idara mbalimbali za utoaji huduma wa kliniki hiyo.
Akipongeza uwekezaji mkubwa uliofanywa katika ujenzi na ununuzi wa vifaa tiba, Dr MENGI amesema watu waliofanya maajabu makubwa duniani ni  wale wanaojiamini na kuthubutu kutekeleza ndoto zao.

Akizungumza katika hafla hiyo, iliyoambatana na maadhimisho ya miaka minane ya kuanzishwa kwa kliniki hiyo, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Bw. Daniel Chongolo amesema uwekezaji uliofanywa katika kliniki hiyo ni  wa kizalendo wenye malengo ya kusaidia wananchi kupata tiba muhimu ya magonjwa ya moyo.

Mapema katika taarifa yake Mkurugenzi Mkuu wa Kliniki ya Heameda Dr. Hery  Mwandolela alisema Kiliniki hiyo iliyoanza kutoa huduma kwenye vyumba viwili na watumishi wawili, sasa hivi ina  watumishi 30, jengo kubwa lenye vitendea kazi vya kisasa, na hadi sasa imeshawahudumia  wagonjwa wapatao 13,000

Aidha Mwakilishi wa Mganga MKUU wa wilaya ya Kinondoni Dr Christowell Mande amepongeza uwekezaji huo na kuahidi kutoa ushirikiano wa karibu.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: