Watu kadhaa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya ajali iliyohusisha gari kampuni ya Arusha Express  ikitokea Arusha kuelekea Dodoma kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Haraa kata ya Bonga mjini Babati.

Jeshi la polisi mkoani Manyara limefika katika eneo la tukio kuokoa majeruhi kwa kuwapeleka katika vituo vya afya Bonga na hospitali ya mji wa Babati Mrara kwa matibabu.

Endelea kutufatilia tutakuletea Taarifa kamili
Share To:

msumbanews

Post A Comment: