Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu kabla ya kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Lengo likiwa ni kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi huo, pia kujifunza shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu wakati wa kikao baina yao kilicholenga kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi, nakujifunza shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. kikao kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Post A Comment: