Soko la Mlango Mmoja jijini Mwanza linateketea kwa moto muda huu na jitihada za kuudhibiti zinaendelea chini ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Chanzo cha moto huo bado hakujajulikana 
Share To:

msumbanews

Post A Comment: