Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa kulia,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza. Septemba 5,2018.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake Mke wa Spika msaafu Pius Msekwa Mama Anna Abdallah Msekwa,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza. Septemba 5,2018. Kushoto ni spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza. Septemba 5,2018.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mwenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza. Septemba 5,2018.
Post A Comment: