Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndugu Kheri James amewapokea madiwani wawili waliotoka vyama vya upinzani na kuamua kujiunga na CCM leo.
Ndugu Kheri James akiwa ziarani Wilaya ya Misungwi amewapokea Ndugu Maico Kadala aliyekuwa Diwani wa CHADEMA wa kata ya Buhingo na Ndugu Erkana Isanzu aliyekuwa Diwani wa ACT Wazalendo wa kata ya Sumbugu.
Post A Comment: