Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) ambaye pia aliwahi kuwa Mtangazaji Maarufu wa Radio One, Dkt. Misanya Dismas Bingi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kupata nstroke na kupelekwa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU).
Post A Comment: