Diwani wa kata ya Olasiti Katika Jiji la Arusha kupitia (Chadema), Ndg.Alex Marti ameamua kuandika barua ya kujiuzulu udiwani na kujiunga na chama chama Mapinduzi CCM kwa maelezo kwamba anamuunga mkono Rais John Magufuli.
Alex Marti ni diwani wa nane katika Jiji la Arusha kujiuzulu kwa kipindi hiki kwa kufurahishwa na utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli.
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, amethibitisha leo ( September 02, 2018 ) kupata taarifa za kujiuzulu kwa diwani huyo Ndg .Alex Marti
Post A Comment: