Jumuiya ya umoja wa vijana wa CCM ( UVCCM ) Mkoa wa Dar es salaam leo tumeanza semina elekezi ndani ya Mkoa wa DSM katika majimbo 10 yalipo katika Mkoa wetu
Leo Jumuiya hiyo imeanza ziara katika jimbo la kigamboni iliudhuriwa na viongozi wa vijana jimbo hilo jumla ya washiriki ni 426 na Kesho tutaendelea katika Jimbo la mbagala na kuendelea katika majimbo mengine yalimo katika Mkoa wa Dar es salaam
Semina hiyo walengwa ni kamati za utekelezaji ngazi za MATAWI,KATA NA WILAYA
Post A Comment: