Aliyekuwa Diwani wa Monduli (Chadema), Ndg. Issack Joseph Kadogoo
Diwani wa Kata ya Monduli Katika Halmashauri ya Monduli kupitia Chadema, Ndg. Issack Joseph Kadogoo ameandika barua ya kujiuzulu udiwani na kujiunga na CCM kwa kueleza kwamba anamuunga mkono Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Back To Top
Post A Comment: