Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) Yanza zoezi la kuwapima umri wachezaji watakaoshiriki kwenye michuano ya CECAFA msumbanews on August 08, 2018 Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) imeanza zoezi la kuwapima umri wachezaji watakaoshiriki kwenye michuano ya CECAFA Kanda ya 5 itakayofanyika hapa nchini kuanzia tarehe 11/08/2018. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: