Msanii
wa Bongo, Snura Mushi amenusurika katika ajali ya gari. Muimbaji huyo
alikuwa ameongozana na madensa wake, aliyetoa taarifa ya ajili hiyo
iliyotokea majira ya saa nne usiku ni Minu Calypto ambaye anatajwa kuwa
mpenzi wa Snura.
Kupitia
Instagram ameandika; "Jana mida ya saa nne usiku tulipata ajali mimi na
Snura Mushi na ma-dancer wetu wawili pamoja na dereva.. Gari ilipinduka
ila tunashkuru Mungu tuko salama.. #WeGood"
Post A Comment: