Mtoto wa Jinsia mbili ya kike na kiume amezaliwa katika Hospitali Teule ya Rubya iliyopo wilayani Muleba mkoani Kagera.

Kuzaliwa kwa mtoto huyo kumethibitishwa na Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt.Geore Kasibante (pichani), ambaye alisema hali ya mtoto huyo inaendelea vizuri na kuwa wakati wowote atapelekwa hospitali kubwa kwa ajili ya uchunguzi ili afanyiwe upasuaji kwa vile katika hospitali hiyo hawana madaktari bingwa wa kuweza kufanya upasuaji huo.
Na Dotto Mwaibale, Kagera
Share To:

Anonymous

Post A Comment: