Aliyekuwa Diwani kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Lromu Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro Ndg. Shimiliya ufoo  ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na nyadhifa zake zote ndani ya Chadema na kujiunga rasmi CCM asubuhi hii.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: