Msanii wa Filamu Bongo, Jackline Wolper amesema kitu ambacho hawezi kufanya ni kudanga. Wolper amefunguka hayo wakati akimjibu shabiki yake katika mtandao wa Instagram kufuatia mrembo huyo kuposti picha ya Rais wa Kenya na kuandika; My second home.
 
Sasa shabiki huyo alitupia comment yake kwenye post hiyo ambayo ilisomeka; "Siku Wakenya Watakukata ki******m ndo utajua ni second home au ni neighbor country we endeleaa tu kudangaaaa kwa waikikuyu"

Naye Jackline Wolper akajibu; "Siwezi kudanga na siku nikikamata mmoja ni mimba tu usijali, halafu kasome ujue maana ya kudanga.. na me kudanga siwezi, wanadanga watoto, am sorry".

Jackiline Wolper amekuwa nafari za mara kwa mara nchini Kenya kutokana na biashara zake hasa ile ya ushonaji kupitia duka lake la House of Stylish.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: