Aliyekuwa Diwani kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Katanga Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma  Ndg. Osca Kazihise Bulakuvye  ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na nyadhifa zake zote ndani ya Chadema na kujiunga rasmi CCM asubuhi hii.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: