Aliyekuwa Diwani wa kata ya Mambwenkoswe wilayani Kalambo, Kanowalia Siwale(CHADEMA) amejiuzulu na kujiunga na CCM

Siwale amedai kuwa sababu ya kujiuzulu ni kutokana na chama hicho kujaa migogoro ambayo haisaidii jamii na isiyoleta maendeleo kwa ujumla.

Amesema ameamua kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika juhudi za kuleta maendeleo.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: