Lundo la viongozi wa upinzani wazidi kutimka. Diwani wa Kata ya Romu katika Halmashauri ya wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Shilyimiaufoo Kimaro, ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Udiwani na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.

Diwani huyo ametoa sababu ya kuhama Chadema ni kutokana na chqama hiko kukosa demokrasia pana ambayo itasaidia kutatua matatizo na kuleta maendeleo kwa jamii.

Kimaro amekabidhi barua yake ya kujiuzulu kwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Yohana Sintoo. Soma barua hiyo hapa chini.


Share To:

msumbanews

Post A Comment: